UJENZI WA SGR смотреть последние обновления за сегодня на .
Kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) nchini Tanzania ni jambo linalongojewa kwa hamu na watanzania pamoja na nchi jirani zitakazonufaika na ujenzi wake. #kurunzi
Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kwamba Serikali itaendelea kuhakikisha mradi huo unajengwa kwa viwango na kukamilika kama ilivyobainishwa kwenye mkataba. Amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo unaendelea vizuri katika vipande vyote na kwamba Serikali itahakikisha mradi huo haukwami na itakabiliana na viashiria vyote vinavyoweza kukwamisha utekelezaji wake. Ameyasema hayo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa stesheni kuu ya Dodoma katika eneo la Mkonze, jijini Dodoma. Akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa stesheni hiyo, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Watanzania wanaoshiriki katika ujenzi wa mradi huo wasimamie usalama wa mradi na wawe walinzi ili ukamilike kama ilivyokusudiwa. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍
Waziriwa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameridhiswa na kasi ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) sehemu ya Isaka-Mwanza kilomita 341 na kuwataka wakazi wa kanda ya ziwa kujipanga kutumia fursa hiyo ya uchumi. Akiwa ziarani mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo, Mbarawa amesema ni wakati wa wadau mbalimbali kubuni fursa za kibiashara na kihuduma zitakazoendana na matumizi ya treni mpya ya kisasa. “Fursa za reli ni nyingi hivyo hakikisheni mnaziibua ili kuwezesha huduma ya treni itakapoanza kufanya kazi kwa tija”, amesema Prof. Mbarawa. Aidha amewataka wafanyakazi wa reli hiyo kuwa wazalendo kwa kuepuka tabia za wizi kwani zinaweza kuchelewesha mradi na kuleta hasara kwa Serikali na Mkandarasi.
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
SHIRIKA la Reli Tanzania TRC limesema ujenzi wa Reli ya kisasa SGR kipande cha Dar es salaam hadi Morogoro umefikia asilimia 97.94 huku likibainisha kuanza safari kati ya mwezi wa nne mwishoni au wa tano mwaka huu Hiyo yamebainishwa Jijini Dodoma na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Masanja Kadogosa katika ziara ya viongozi wa Baraza kuu la umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍
Makaburi takribani 1,500 ya Waislamu yaliyoko Mtaa wa Sokoni Mkuyuni jijini Mwanza yameanza kuhamishwa ili kupisha ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga na kupelekwa katika makaburi ya Nyashana kata ya Isamilo jijini humo.
🔴#live: MAKAMU wa RAIS AZINDUA UJENZI wa RELI ya KISASA (SGR) TABORA - ISAKA (KM 165).. JANUARI 18, 2023, Makamu wa Rais, Philip Mpango ameshiriki hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa ( SGR ) kipande cha Tabora - Isaka chenye urefu wa KM 165... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍
Tanzanite madini pekee Duniani ambayo hupatikana nchini Tanzania tu, jina hili la Tanzanaiti ndilo limetumika katika Jengo la Shirika la Reli Tanzania, ikiwa ni kuipa thamanani Reli ya Kisasa SGR. Treni hizi za mfumo wa umeme, zinatarajiwa kufika katika nchi jirani na Tanzania ikiwemo Rwanda, Bujumbura, Burundi na hatimaye Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hili ndilo Jengo lililobeba sura ya Tanzanaiti, ambapo hii leo wajumbe kutoka DRC na wa Tanzania, wamefika katika jengo hili kujionea mradi huu ulipofikia. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍
Ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR) kipande cha Morogoro mpaka Makutopora Mkoani Singida umefikia zaidi asilimia 91 ya ujenzi wake huku stesheni za Morogoro na Kilosa zimekamalika. Hayo yamesema na Naibu Katibu Mkuu anayesimamia sekta ya Uchukuzi Dk. Ally Possi wakati akikagua hatua za ujenzi huo kwa kipande cha Morogoro Makutopora.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linawashilikia watu 9 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo wizi wa vifaa vya ujenzi katika mradi wa reli ya kisasa SGR pamoja na ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi maarufu kama daraja la JPM. Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
MAANDALIZI YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SGR RELI YA KISASA KIPANDE CHA TANO MWANZA HADI ISAKA
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
MAENDELEO YA UJENZI WA SGR KM ZOTE 1219, DAR - MWANZA; ZAIDI YA SHILINGI TRIL 16 ZA WATANZANIA.
KIAMA CHATANGANZWA WAHUJUMU UJENZI RELI YA KISASA 'SGR'... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezungumzia kuridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa reli ya kisasa SGR sehemu ya Isaka-Mwanza KM 341na kuwataka wakazi wa kanda ya ziwa kujipanga kutumia fursa hiyo ya uchumi. Amesema wakati ujenzi wa SGR ukiendelea ni wakati wa wadau mbalimbali kubuni fursa za kibiashara na kihuduma zitakazoendana na matumizi ya treni mpya ya kisasa.
DAR ES SALAAM TO MOROGORO TANZANIA
#Kaziiendelee TAZAMA ULIPOFIKIA UJENZI WA SGR KUANZIA DAR MPAKA MAKUTUPORA
Dar Es Dalaam Pwani Tanzania